Thursday, 15 February 2018

Video: Lissu acharuka mauaji Chadema, Wananchi wampasha DC mbele ya RC


Lissu acharuka mauaji Chadema, asema yana mkono wa siasa, siri ya kunyongwa kiongozi wao yaanikwa, Polisi wamkalia kooni Mbowe, Wananchi wampasha DC mbele ya RC, ni wa wilaya ya Mwanga, wadai mbele ya RC Mghwira kwamba hasikilizi kero zao…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Februari 15, 2018Chanzo - Dar24

No comments:

Post a Comment