Sunday, 18 February 2018

Tamko la Chadema kuhusu matokeo ya Uchaguzi wa marudio


Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Februari 17, 2018, kwenye majimbo mawili (Kinondoni na Siha) na Kata 10, Chama kitatoa TaarifaChanzo - MuungwanaBlog

No comments:

Post a Comment