Tuesday, 6 February 2018

BREAKING NEWS: JOSHUA NNASARI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA HIZI


Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru.

Nassari anakabiliwa na tuhuma za shambulio analodaiwa kulifanya kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Makiba mwaka 2014. Mtendaji huyo bado hajatajwa jina lake.


Chanzo - MuungwanaBlog

No comments:

Post a Comment