Sunday, 11 February 2018

ANC yaadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa rais mweusi


Chama tawala cha Afrika Kusini ANC kimeanza maadhimisho ya kumbukumbu za miaka mia moja tangu kuzaliwa kwa Raisi wa kwanza mweusi nchini humo shujaa, Nelson Mandela.


Aidha, Kiongozi wa sasa wa ANC, Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuhutubia katika viwanja vya Freedom square mjini Cape Town, ambako marehemu Mandela alitoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuachiliwa huru kutoka gerezani miaka ishirini na nane iliyopita.
Chanzo - Dar24

No comments:

Post a Comment