Saturday, 19 August 2017

IBADA YA TAREHE 13 AUGUST ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA CHRISTIAN GOSPEL REVIVAL ASSEMBLY CGRA - KAHAMA


Bwana Yesu Asifiwe, kama ulikosa Ibada iliyofanyika katika Kanisa la Christian Gospel Revival Assembly (GCRA) Kahama tarehe 13 Agosti 2017, basi usiwe na wasiswasi mwana wa Mungu.


Kuanzia leo hii Jumamosi tarehe 19 Agosti tutakuwa tunakuletea Ibada zitakazokuwa zikifanyika Alhamisi, Ijumaa na Jumapili.

Na leo tumekuletea Ibada iliyofanyika tarehe 13 Agosti 2017 ambayo alifundisha Bishop Mwemezi (Mtu wa Mungu) 

Barikiwa sana unaposikiliza Ibada hii ikawe ya kukupa majibu yako. Barikiwa na mafundisho na shuhuda zilizo katika Ibada hii. Bofya HAPA kusikiliza Ibada hii kupitia Sound Cloud na Bofya HAPA kusikiliza Ibada hii kupitia HulkShare

Amen.

No comments:

Post a Comment