Thursday, 16 February 2017

OFFICIAL AUDIO: YARED E. NDOLOSI - BILA WEWE

Yared E. Ndolosi katika pozi

Kutoka Kahama, Shinyanga, Tanzania..... muimbaji wa nyimbo za Injili na mmilikiwa blog ya kijamii ya yndolosi.com Yared E. Ndolosi anakuletea wimbo wake mpya wa Injili Unaoitwa Bila Wewe. Ni wimbo mzuri wenye ujumbe wa tumaini jipya kwa wote waliokata tamaa. Barikiwa sana unapousikiliza wimbo huu. DOWNLOAD hapa wimbo huu na uwashirikishe ndugu jamaa na marafiki ili wote muweze kubarikiwa na kazi hii.

Na: Yared E. Ndolosi

No comments:

Post a Comment