Wednesday, 6 July 2016

TRA YAFUKA MALENGO YA UKUSANYAJI KODI

Kamishna mkuu wa TRA Alphayo Kidata

Mamlaka ya mapato nchini TRA imevuka lengo la kukusanya kodi kwa mwaka wa fedha 2015/2016 na kupata shilingi tririoni 13.371 ikiwa ni sawa na asilimia 100.04 badala ya shiringi tririoni 13.36 iliyotarajia kukusanya
Kamishna mkuu wa TRA ALPHAYO KIDATA amesema mafanikio hayo yametokana na kuongeza kwa makusanyo katika miezi ya hivi karibuni ambapo kwa mwezi juni pekee wavuka lengo kwa kukusanya a shilingi tririoni 1.414 badala ya tririoni 1.311 na wamejipanga kuongeza mapato kwa kodi ya majengo.

Nae kamishna wa mapato ya ndani na kamishna wa VAT wamesema mikakati ya TRA kwa mwaka huu ni kuhakiki wafanyabiashara wenye TIN zaidi ya moja na kudhibiti ugushaji wa mashine za EFD.

No comments:

Post a Comment